TAALUMA

 TAALUMA

Shule yetu ina waalimu waliobobea katika fani ya ufundishaji.

Tumekuwa tukifanya vizuri miaka yote, na mitihani ya Darasa la saba 2021 tulifanya vizuri zaidi kiwilaya tulikuwa nafasi ya 25 kati ya shule 92. Kimkoa tulikuwa nafasi ya 134. kati ya shule 498, Kitaifa tulikuwa nafasi ya 518 kati ya shule 11,909.


Comments

Popular posts from this blog

ADA

KUHUSU SISI

USAJILI