KUHUSU SISI
KUHUSU SISI
Anniy Nndumi Nursery and Primary School ni Shule ya Awali na Msingi, Kutwa na Bweni inayotumia lugha ya kingereza katika kufundishia Inatumia mitaala ya Wizara ya Elimu.
Shule ipo katika Kata ya Saranga, Wilaya ya Ubungo, Mkoa wa Dar es Salaam. Shule ipo umbali wa kilometa tatu kutoka barabara kuu iendayo Morogoro mtaa wa Matangini mkabala na Shule ya Msingi Mavurunza
Comments
Post a Comment