MIHULA YA MASOMO
MIHULA YA MASOMO
Shule yetu ina mihula miwili kwa mwaka kama ilivyo ratiba ya Wizara ya Elimu. Muhula wa kwanza huanza Januari na mwisho huisha Juni, na muhula wa pili huanza Julai hadi Disemba (Na kila muhula umegawanywa mara mbili ambayo ni robo ya kwanza na robo ya pili)
Ada ya kila muhula hulipwa yote kila muhula unapoanza. Pia inaweza kulipwa kwa mwaka mzima.
Comments
Post a Comment